Binti ajulikanaye kama Doreen Kabareebe amtia aibu kubwa baba yake
ambaye alikuwa Mbunge huko Uganda apiga picha za nusu uchi na kutupiwa
kwenye majarida huko kampala Uganda. Picha hizi zimezua mijadala mikubwa
na maswali mengi kwa wakazi na wananchi wa kampala wanao mjua
muheshimiwa huyo.
No comments:
Post a Comment