Kikizungumza chanzo chetu kilicho makini, kilisema
kinawashangaa sana Wastara na mwenzi wake huyo kuukana upenzi wao kila
kukicha wakati picha zinajieleza.
“Wastara amekuwa akimkana Bond kuwa si mpenzi wake ila ni kaka yake
sasa hebu tazama picha zao mpya, hata mtoto mdogo humdanganyi kitu,”
kilisema chanzo hicho huku wawili hao wakiendelea kukanusha kuwa na
uhusiano wa kimapenzi
No comments:
Post a Comment