Baadhi ya waombolezaji.
Aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Alpha
Alfred Newa aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel Munisi Novemba 19
Ilala Bungoni amezikwa leo katika shamba la familia huko Goba jijini Dar
es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Baba
mzazi wa Francis Shumila (katikati), Shumila ambaye alikuwa shemeji yake
Alpha aliuawawa katika shambulio hilo. Kushoto ni mama yake marehemu
Francis Shumila.
Baadhi ya ndugu na jama wakipata chakula kabla ya kuanza zoezi la kuaga mwili.
Ndugu wa marehemu Alpha Newa.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu, Alpha Afred Newa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach.
Dada wa
marehemu Alpha Newa, Christina Newa 'Nando' (katikati) akipata msaada
kutoka kwa ndugu baada ya mwili wa mdogo wake kuwasili nyumbani.
Baadhi ya ndugu na wafanyakazi wa NSSF wakimfariji Carloyne Newa ambaye ni dada wa marehemu Alpha .
Mwili wa Alpha ukishushwa kaburini wakati wa mazishi yake.
Mwili ukishushwa kaburini.
Wanafamilia weke weka udogo katika kaburi la Alpha kama ishara ya kumuaga.
Padri akiwa na mama mzazi wa Alpha.
Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach akiweka shada la maua.
Mama wa marehemu, Ellen Newa akiweka shada la maua.
Joseph John ambaye ni mume wa marehemu Alpha Newa akiweka shada la maua.
Mtoto wa marwehemu, Ellen Alpha Alfred Newa akiweka shada la maua.
Christina Newa akisindikizwa kuweka shada la maua.
Ellen ambaye ni mtoto wa marehemu akiwa mbele ya kaburi la mama yake marehemu Alpha.
Ellen akiwa na baba yake.
Joseph John akiwa na watoto wa marehemu, Olga ambaye ana umri wa miaka 4 (kushoto) na Elvis (6) kulia na dada yao Hellen.
Wafanyakazi wa NSSF wakimfariji mfanyakazi mwezao, Carloyne Newa baada ya kufiwa na mdogo wake Alpha Newa.
Dada wa marehemu, Carloyne Newa akiwasha mshumaa katika kaburi la Alpha.
Kaka wa marehemu, Mloyi Newa akitoa wasifu wa marehemu pamoja na kuwashukuru wote walofanikisha mazishi ya marehemu Alpha Newa.
Meneja
Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume (kushoto),
akiwa na Ofisa wa NSSF, Devota wakati wa mazishi ya Alpha Newa.
Familia ya marehemu Alpha Newa.
Mume wa marehemu, Joseph John akiwa mtoto wake Ellen.
Baadhi
ya marafiki kutoka Zanzibar na maeneo mbalimbali wakiwa katika picha ya
pamoja mbele ya kaburi la Alpha Newa baada ya mazishi yake
No comments:
Post a Comment