ANGALIA PICHA 54 BORA ZA MWAKA HUU, YAANI LAZIMA USIKITIKE NA KUCHEKA
Ikiwa
tunaelekea kuumaliza mwaka 2013, shirika la habari la kimataifa Reuters
limetoa picha bora za mwaka huu,‘The most astonishing pictures of
2013’, zikiwemo za baadhi ya matukio makubwa ya mwaka huu. Miongoni
mwa picha hizo zimo za tukio la kigaidi lililoitikisa Afrika Mashariki,
la kuvamiwa kwa jengo la biashara la Westgate, Kenya. Hizi ndizo ‘The most astonishing pictures of 2013’ kwa mujibu wa Reuters SOURCE: MAIL ONLINE
No comments:
Post a Comment