Jumamosi
 iliyopita (Nov 30) Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kufanya 
shopping mwenyewe katika duka la vitabu (Politics and Prose bookstore) 
huko Washington D.C, akiongozana na wanaye Malia na Sasha.
Rais Obama akiwa na wanaye Sasha na Malia katika duka la vitabu kusupport biashara ndogo
Jumamosi ya baada ya ‘Thanks giving day’ kwa Marekani, hufahamika kama ‘small
Business Saturday’, hivyo Obama kama kiongozi wa taifa hilo aliamua kuwa mfano kwa raia wa Marekani kuwaunga mkono wafanyabiashara wadogo wanaotoa huduma kwa jamii.
Wateja
 pamoja na wafanyakazi wa duka hilo la vitabu walipata mshituko kumuona 
kiongozi wa taifa hilo kubwa na lenye nguvu duniani, akiingia dukani 
hapo akiwa amevalia mavazi ya kawaida (casual), na kuchagua vitabu kisha
 kwenda counter na kulipa kama wafanyavyo wateja wa kawaida.
-Hapa Rais Obama akiwasalimia wateja aliowakuta dukani hapo
Rais Obama alionekana kujichanganya na wateja wengine na kuzungumza nao na kufurahi huku akiendelea kufanya manunuzi ya vitabu.
-Obama akilipia vitabu alivyochagua dukani hapo kama mteja wa kawaida
Baada
 ya kufanya manunuzi yake, Obama aliwaaga wateja na wafanyakazi 
nakuwatakia “great holiday,” kisha wote wakampigia makofi. Mke wa Rais 
Obama, Michelle Obama hakuwa pamoja na familia yake wakati huo.
Baada ya kutoka katika duka hilo baadaye alitweet
Jumamosi iliyopita (Nov 30) Rais wa 
Marekani Barack Obama aliamua kufanya shopping mwenyewe katika duka la 
vitabu (Politics and Prose bookstore) huko Washington D.C, akiongozana 
na wanaye Malia na Sasha.
Rais Obama akiwa na wanaye Sasha na Malia katika duka la vitabu kusupport biashara ndogo
Jumamosi ya baada ya ‘Thanks giving day’ kwa Marekani, hufahamika kama ‘small Business Saturday’, hivyo Obama kama kiongozi wa taifa hilo aliamua kuwa mfano kwa raia wa Marekani kuwaunga mkono wafanyabiashara wadogo wanaotoa huduma kwa jamii.
Wateja pamoja na wafanyakazi wa duka 
hilo la vitabu walipata mshituko kumuona kiongozi wa taifa hilo kubwa na
 lenye nguvu duniani, akiingia dukani hapo akiwa amevalia mavazi ya 
kawaida (casual), na kuchagua vitabu kisha kwenda counter na kulipa kama
 wafanyavyo wateja wa kawaida.
-Hapa Rais Obama akiwasalimia wateja aliowakuta dukani hapo
Rais Obama alionekana kujichanganya na wateja wengine na kuzungumza nao na kufurahi huku akiendelea kufanya manunuzi ya vitabu.
-Obama akilipia vitabu alivyochagua dukani hapo kama mteja wa kawaida
Baada ya kufanya manunuzi yake, Obama 
aliwaaga wateja na wafanyakazi nakuwatakia “great holiday,” kisha wote 
wakampigia makofi. Mke wa Rais Obama, Michelle Obama hakuwa pamoja na 
familia yake wakati huo.
Baada ya kutoka katika duka hilo baadaye alitweet
 

 
No comments:
Post a Comment