adsence

Pages

Saturday, December 7, 2013

BAADA YA KUSAMBAA PICHA ZA RAYUU NA NJEMBA WAKIFANYA YAO, HATIMAYE HLO NJEMBA LAFAHAMIKA JINA



KUTOKANA NA UCHUNGUZI WA KINA ULIO FANYWA NA TIMU NZIMA YA MTANDAO HUU.HATIMAYE WAMEWEZA KUMGUNDUA NJEMBA HUYO NA SIRI NZIMA YA HIZO
PICHA,HUYU JAMAA ANAITWA KHALIFANI ABBAKARI NI MSANII MPYA KATIKA TASNIA YA FILAMU TANZANIA NA ANAKAMILISHA TARATIBU ZA FILAMU YAKE ITAKAYO INGIA SOKONI HIVI PUNDE .BAADA YA KUFWATILIA UKARIBU WAO KUTOKANA NA PICHA ZENYE UTATA NA KUBAINIKA KUWA ZILIKUWA PICHA ZA FILAMU HIYO INAYO KUJA ALIYO MSHIRIKISHA MWANA DADA RAYUU.SO WAPENZI WOTE WA FILAMU KAENI MKAO WA KULA KWANI FILAMU NZURI NA BORA TOKA KWA KHALIFANI ABBAKARY AKIWA NA RAYUU NA WASANII WENGINE KIBAO IKO KATIKA HATUA ZA MWISHO KABISA KUWEZA KUWA SOKONI.

No comments:

Post a Comment