Nicki Minaj aandika 'Kiswahili' kwenye post yake kuhusu jinsi anavyomkumbuka Mandela.
First Lady wa Young Money/ Cash Money Brothers Nicki Minaj 
ameonesha jinsi gani anavyoikubali lugha ya Kiswahili kama lugha 
inayowakilisha Uafrika.
Nicki Minaj ameandika maneno ya Kiswahili “Madaraka kwa Watu”, na 
kukizungungushia nyota kikiwa kati ya maneno ya Kiingereza aliyoandika 
kuonesha jinsi anavyomkumbuka na kumuenzi Nelson Madiba Mandela.
“A complete and fulfilled life of a King. We could never repay you 
for your dedicated, passionate fight against injustice. We enjoy the 
very liberties you gave your freedom for. Your legacy will never die. 
Thank you, and may God bless your soul. ***Madaraka kwa watu***”. Nicki 
Minaj ameandika kwenye Instagram.
Kiswahili kiko juu..! Mandela apumzike kwa amani
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment