Mahakama
 ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya 
Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa
 filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
 

 
No comments:
Post a Comment