Mchezaji
 nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa 
alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka 
jana.
Kituo
 cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa 
akimsumbua doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata 
madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kupandikizwa nywele 
bandia kwenye kipara chake,hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa 
ndani ya familia ya mchezaji huyo.
Tazama hapa video hiyo.
 
 
No comments:
Post a Comment