HUU NDO MKWANJA ALIOINGIZA NAY KATIKA FIESTA 2013 
Ney wa mitego amefunguka leo kupitia 
kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha 
mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa
 mitego amesema hayo  wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm 
alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni
 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment