Akiwataja wasanii hao, Nay alisema anatamani kufanya kazi na Sanaipei na Avril na kuongeza kuwa msanii anayempenda zaidi nchini Kenya ni Mejja. Kwa upande wa Hip Hop alisema angependa kumshirikisha Octopizzo na Rabbit. “Hawa watu tukikaa hapa tukipata na mtoto wa kike katikati akatufanyia kitu chake itakuwa ni collabo ya Afrika Mashariki,” alisema.
Source: Bongo5
 
 
No comments:
Post a Comment