PICHA ZA GARI AINA YA RANGE ROVER AMBALO NI REFU KULIKO YOTE AFRICA MASHARIKI
Mara
nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye harusi tofautitofauti
lakini Range hii ambayo ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko
Range zote ambazo zipo Afrika Mashariki ambapo unaweza kutazama picha
zake za ndani na nje hapa.

No comments:
Post a Comment