HUYU NDO MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza 
kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini 
Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa 
mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle,
 Vanessa Williams na wengineo.
GPL
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment