adsence

Pages

Wednesday, December 4, 2013

HAYA NDO MAJINA 10 AMBAYO HUTAFUTWA SANA MITANDAONI..OBAMA ASHIKA NAMBA 10

Kama ulikua hujui basi hawa ndo watu maarufu ambao wanaongoza kwa kutafutwa sana kupitia mtandao wa BING. Baby mama wa Jay Z ndo anashika namba moja na anayefunga mkia ni Obama. Cheki list nzima hapa
1. Beyoncé
2. Kim Kardashian
3. Rihanna
4. Taylor Swift
5. Madonna
6. Justin Bieber
7. NickiMinaj
8. Amanda Bynes
9. Miley Cyrus
10. Barack Obama

No comments:

Post a Comment