adsence

Pages

Wednesday, December 4, 2013

MWANAFUNZI APIGA PICHA MBAYA..RAFIKI ZAKE WAZINASA NA KUZIWEKA MTANDAONI.



Mwanafunzi  mmoja  naye  amejikuta  akionja  machungu  ya  utandawazi  baada  ya  rafiki  zake  kumsaliti  na  kuzianika  picha  zake  chafu  akiwa  hosteli....

 Maswali  ya  kujiuliza: 
1.Kwa  nini  upige  picha  kama  hizi?
2.Kwa  nini  wanawake  tu?


3. Serikali  zilaumiwe? ( wanapiga  wenyewe, zikivuja  ndo  wanaanza  kulalama.)
4. Mitandao  ya  kijamii  ina  makosa?
 Majibu  haya  na  mengine  yote Tuongee hapo chini kwa comment hapo chini.


1 comment:

  1. ivi nyingi mablogger mbna mnapenda sana kutupia picha za uchi za watu..ina maana nyie hamna habar nyngne kbsaaa ya kuweka huku..afu mmekuwa mnashindana kwa picha za uchii..daaa

    ReplyDelete