HUYU NDIYE MTOTO WA WAZIRI MKUU PINDA, JANET PINDA AMBAYE AMETUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI LEO....TAZAMA PICHAZ HAPA 
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia)  wakiwa na Binti yao Janet 
Pinda  ambaye alitunukiwa  Shahada  ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo 
ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni 
hapo mjini Morogoro  Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment