Kutoka chanzo cha kuaminika (Jina Tunalo) cha mkasa huu unaoendelea umetiiririka kwa kusema kuwa tabia ya mkaka huyu (jina tunalo) si mzuri hata kidogo kwani anawatumia akina dada kama kitegauchimi bila wao kujijua kwa mlango wa mapenzi,
Stori
imekuja kufichuka pindi wadada hawa walipo gombana kisa kikiwa
kumgombania mwanaume huyo na mmoja wao kuamua kuweka picha za uchi za
mwenzake,
Mmoja
anatambulika kwa jina la Rachel Jose huyu ndie aliyepost picha za Utupu
za Mwanadada aliejulikana kwa jina la Minza na kudai kuwa mdada huyo
amekuwa akimmendea Boyfriend wake kwa muda mrefu na alisha wahi kumkanya
aachane na mtu wake huyo lakini bila ya mafanikio so Akaona nibora
amuanike live bila chenga katika Ukurasa wake wa Facebook huku akimkanya
tena kuwa aache tabia ya kumtumia picha za Uchi Mumewake huyo.
Lakini kumbe kuna kitu nyuma ya Pazia kuhusiana na mkasa huo, Mnyetishaji alifunguka hivi:
Rachel
Jose kama inavyosomeka profile yake hiyo katika mtandao huo alimfahamu
huyo mwanaume kupitia kwa rafiki yake huyo na kutambulishwa kama ni
shemeji yake lakini baada ya siku kadhaa akapita front na kumpora
mwanaume huyo, kimeeleza chanzo hicho.
Kumbe
bila kujua mwanaume huyo ni tapeli wa mapenzi kuwa anawataka wanawake
wenye pesa na ukimzingua kukata mshiko kwake ana tishia kukuanika katika
magazeti kwani tayari anakuwa na picha zako za faragha kama alivyofanya
rachel kwa rafiki yake huyo.
Watu wamekerwa na kitendo kilichofanywa na mwanadada Rachel cha kutumika kumdhalilisha mwanamke mwenzake kwa sababu ya mapenzi
Unaweza
Bofya Hapa Kucheki picha Hizo katika account yake ya Facebook..Ila
kutokana na kuharibu sheria za facebook..mpaka jana jioni accont ya rachel jose(ndio anayotumia) ilifutwa..kwa huakika bofya hapo chini..
<<>>
Ila vitukovyamtaa BLOG ILIWEZA KU SNAPSHOOT picha iyo ikiwa na jina la account halisi ya Rachel jose..kUangalia picha hiyo ambayo ni ya utupu kabisa bofya hapo chini
<>
-credit:
Ila vitukovyamtaa BLOG ILIWEZA KU SNAPSHOOT picha iyo ikiwa na jina la account halisi ya Rachel jose..kUangalia picha hiyo ambayo ni ya utupu kabisa bofya hapo chini
<>
-credit:
No comments:
Post a Comment