adsence

Pages

Saturday, December 7, 2013

NAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI IIA INASIKITISHA SANA,,,!! HIVI NDIVYO KIKONGWE ALIVYOUWAWA KWA KUKATWA MAPANGA KWA TUHUMA ZA USHIRIKINA...PICHA NI MBAYA ZITAZAME HAPA



Bibi Lucia alivyokatwa panga

Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.

Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.

Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila chakula na wajukuu zake
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na Shingoni.
Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni imani za kishirikina.

No comments:

Post a Comment