 Madiba peleka salam hizi kwa mzee we2 (swaiba wako Julias kambarage 
nyerere) mwambie hv Tanzania hakuna tena kuna Tangagiza, viongozi bora 
hakuna tena xaxa hv kuna wezi bora ,bunge hakuna tena xaxa hv kuna 
mabondia , walopokaji, wezi na wasanii , yale mabomu aliyompiga nayo idd
 amin sasa hv yapo super market yanauzwa tu kupigia wanyonge, afu 
mwambie xaxa hv tz na china ni marafiki sana tunabalishana simu za 
kichina na meno ya tembo , pia sasa hv huku hawafi wazee wanakufa vijana
 kwa kula unga, mabangi na ngono zembe ule mchaka mchaka na zile nyimbo 
zake ziliisha mfuata xaxa hv kuna azonto, kiduku na kanga moko. Mpaka 
wazee wenzio baadhi ulio waacha eti nao wanakula ujana.!! Kwa sa hz mi 
yangu hayo labda na ww ongeza lako tumpe Msauzi ampekee Mwalimu. R.I.P 
NELSON MANDELA KING OF AFRICA... Fikisha izo salam kwa mzee we2 ni 
muhim..!!#966

DJ CHOKA
 
No comments:
Post a Comment