adsence

Pages

Tuesday, November 19, 2013

TAZAMA PICHA KADHAA ZA MWANAMUZIKI DBANJ KUTOKA NIGERIA ALIVYOFUNIKA KATIKA TAMASHA KUBWA LA COCACOLA JANA...!!



The coko Master mwenyewe, Dbanj alivyofunika katika tamasha kubwa la cocacola 2013 lililofanyika jana.






Dbanji akiwa na Shabiki mwenye tabasamu la nguvu kuonyesha furaha ya kuonana nae uso kwa uso..


HAPA amewekwa kati na warembo...! Kweli kipaji raha sana.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment