Ndoa  ya  msanii  maarufu  wa  kinigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la 
 Uche Iwuji  imesambaratika  rasmi  kufuatia  picha  zake  za  uchi  
kuvuja  mitandaoni....
Mrembo huyo ambaye mungu alimjalia kupata mtoto mwezi wa nane alikuwa chini ya himaya ya Mr. Juwon Lawal ambaye ni Mnigeria mfanyabiashara wa kimataifa...
Katika mahojiano na mitandao ya nchini hiyo, Mr. Juwon Lawal anadai kuwa akiwa Uingereza kibiashara alipewa taarifa kuwa mkewe alikuwa akigawa penzi kwa meneja mmoja wa benk.
Taarifa hizo zilikuwa ni mawasiliano ya BBM ya mke wake na jamaa ambapo ndani yake kulikuwa na picha za uchi ambazo alikuwa akimtumia meneja huyo
 
No comments:
Post a Comment