Mama wa Blue Ivy na mke wa Rapper Jay Z, Beyonce Knowlence Carter 
aliwashangaza mashabiki na wapenzi wa kazi zake za kimziki hivi karibuni
 kupitia mtandao wa kijamii wa Tumblr. Beyonce akiwa na marafiki zake na
 dada yake Solange amabaye ni mwanamuziki pia, walikuwa  katika 
matembezi ya mapumziko huko nchini Jamaica, Beyounce alipost picha 
ambayo ameonekana akiwa ameshikilia mkono mmoja bia na mkono mwingine 
kitu kama msokoto wa bangi …

Wakati dada yake na rafiki zake wakijachia na bia huku wakidandia miti, Beyonce alikuwa amepozi na chupa ya bia na kitu kama bangi. Picha hiyo imezua mjadala kwa mashabiki kwamba mwana mama huyo anatumia mmea huo wa kijamaica.

No comments:
Post a Comment